Managemnt systems
RITS ni mfumo wa kisasa wa kidigitali unaokusanya, kusimamia na kuchambua taarifa za biashara, viwanda na uwekezaji kwa Halmashauri zote 8 za Mkoa wa Ruvuma. Mfumo huu huongeza uwazi, huondoa urasimu na kusaidia maamuzi ya kimkakati.
Client: RITS
Duration: 1 month
Category: Managemnt systems
Status: Completed